RSS

Monthly Archives: June 2016

Maalim awapongeza Tanzania Muslim Community kwa kuftarisha

Zanzibar Yetu

Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad awashukuru na kuwapongeza waTanzania Muslim Community kwa juhudi zao za kuftarisha kila wiki ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Maalim alihudhuria iftar hiyo Siku ya Jumamosi June 11, 2016 Washington DC wakati akiwa katika ziara yake ya siku 14 Nchini Marekani na Canada.

View original post

 
Leave a comment

Posted by on June 12, 2016 in Uncategorized