RSS

Monthly Archives: December 2015

Wazanzibari wametulia, wanasiasa wasiwachanganye

Zanzibar Yetu

Vijana wa Zanzibar wakionsha furaha baada ya kutangazwa majimbo ya Tume ya Uchaguzi wa Octoba 25 mwaka huu Vijana wa Zanzibar wakionsha furaha baada ya kutangazwa majimbo ya Tume ya Uchaguzi wa Octoba 25 mwaka huu

Kwa ufupi

Taarifa zilisema kikao hicho kiliongozwa na makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wa Serikali.

View original post 473 more words

 
Leave a comment

Posted by on December 30, 2015 in Uncategorized

 

Watadanganya tu ili kung’ang’ania madaraka

Zanzibar Yetu

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.

Na Enzi T. Aboud

NDANI ya uzio wa siasa za kinafiki, chuki na laghai zinazotesa viongozi wa CCM Zanzibar kila unapofanyika uchaguzi, lengo hasa ni kung’ang’ania madaraka. Wataficha ukweli kwa vyovyote wanapoona maslahi binafsi yanaingia katika mtihani. Watadanganya tu bila aibu.

View original post 962 more words

 
Leave a comment

Posted by on December 19, 2015 in Uncategorized