RSS

Monthly Archives: November 2015

Tamko la Jumuyia ya Maimamu Zanzibar

Zanzibar Yetu

Katibu Mtendaji - JUMAZA Zanzibar, Muhiddin Zubeir Muhiddin Katibu Mtendaji – JUMAZA Zanzibar, Muhiddin Zubeir Muhiddin

Baada ya tukio hili kikundi chetu kilitoa taarifa yake ya awali mapema iwezekanavyo ambapo pamoja na kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza kikundi chetu kiliona kuwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25-10-2015 ulikuwa wa uwazi, uhuru, amani, haki na uadilifu na kukidhi viwango vya kimataifa vya uchaguzi bora.

View original post 635 more words

 
Leave a comment

Posted by on November 21, 2015 in Uncategorized