It’s been an exhilarating few days. You just spent four days on safari in Tarangire National Park, one of Africa’s most underrated parks. Your guide drove you over hills and around baob…
Source: Konde, Zanzibar
It’s been an exhilarating few days. You just spent four days on safari in Tarangire National Park, one of Africa’s most underrated parks. Your guide drove you over hills and around baob…
Source: Konde, Zanzibar
Back in February at MWC 2016, HP unveiled to the world the Elite x3 smartphone with a 6-inch WQHD display, Snapdragon 820 processor, 4GB of RAM, a hefty 4150mAh battery, and Windows 10. However, we had no clue how much this beauty would cost. Guesses flew everywhere from $500 to around $700. However, HP has officially confirmed in product listings for the smartphone just how much this handset will run you.
In the US, you’ll be paying a pretty hefty $799. While that may seem like a lot, as Neowin notes, that’s still less than an iPhone 6s Plus with the same storage configuration.
In France, €699.00 is what you’ll pay, while €838.80 is the price including applicable taxes.
In Spain, €699.00 will be the price tag while €845.79 will be the final cost after taxes. There’s also a dual-SIM variant in Spain which costs €882.09.
Finally in the UK (according to a third-party…
View original post 112 more words
Katibu Mtendaji wa JUMAZA, Sheikh Muhiddin Zubeir Muhiddin na Mwenyekiti wa Taasisi za Kiislamu Zanzibar, Sheikh Ali Abdallah Shamte
JUMAZA na Taasisi za Kiislam Zanzibar zina khofu kubwa juu ya kurejewa kwa Uchaguzi, uzoefu unaonesha kuwa nchi zilizorejea uchaguzi katika Bara la Afrika kama vile Nigeria, Zimbwabwe, Malawi na kwengineko hatimaye zilitumbikia katika machafuko makubwa. Kama hilo halitoshi Zanzibar tuna historia mbaya ya kurejea Uchaguzi. Wengi tunakumbuka katika historia ya Zanzibar kile kinachoitwa ‘vita au machafuko ya Juni ‘. Uchaguzi wa Januari mwaka 1961 ulilazimika kurejewa mwezi wa Juni 1961, ambapo ulipelekea machafuko makubwa ikiwemo vifo vya watu 68, maelfu kujeruhiwa, nyumba kuvunjwa na kuchomwa moto. Kwa historia hii JUMAZA na Taasisi za Kiislam Zanzibar hazioni kuwa ni busara kurejewa kwa Uchaguzi uliofanyika kwa ufanisi na kukamilika. Penye nia njema na utashi wa kisiasa basi njia ya uadilifu iliyo wazi ya kutukwamua hapa tulipo ni kwa Viongozi wakuu wa kisiasa…
View original post 1,189 more words
Vijana wa Zanzibar wakionsha furaha baada ya kutangazwa majimbo ya Tume ya Uchaguzi wa Octoba 25 mwaka huu
Kwa ufupi
Taarifa zilisema kikao hicho kiliongozwa na makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wa Serikali.
View original post 473 more words
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Na Enzi T. Aboud
NDANI ya uzio wa siasa za kinafiki, chuki na laghai zinazotesa viongozi wa CCM Zanzibar kila unapofanyika uchaguzi, lengo hasa ni kung’ang’ania madaraka. Wataficha ukweli kwa vyovyote wanapoona maslahi binafsi yanaingia katika mtihani. Watadanganya tu bila aibu.
View original post 962 more words
Katibu Mtendaji – JUMAZA Zanzibar, Muhiddin Zubeir Muhiddin
Baada ya tukio hili kikundi chetu kilitoa taarifa yake ya awali mapema iwezekanavyo ambapo pamoja na kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza kikundi chetu kiliona kuwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25-10-2015 ulikuwa wa uwazi, uhuru, amani, haki na uadilifu na kukidhi viwango vya kimataifa vya uchaguzi bora.
View original post 635 more words